KUWA HURU KIUCHUMI KUANZIA LEO

Watu wengi wamekuwa wakihangaika jinsi ya kujikwamua kiuchumi na hasa katika bara hili la Africa bila ya mafanikio. Na wengi wamekuwa wakipoteza pesa zao kujaribu kufanya kazi za mtandaoni, kiingereza tunasema Internet Marketing. Kundi hili la watu hawakupata mafunzo mazuri kutoka kwa watu makini na wenye uelewa mzuri na wakajikuta kila wanapojaribu wanashindwa kufikia malengo wakiojiwekea. 

SASA SULUHISHO LIPO HAPA!!
Umeumia kwa muda mrefu na hayo makampuni ya kukubebesha bidhaa mbalimbali na hata kukosa wateja wa kutosha! Tumekuja na mfumo rahisi kabisa wa kukufanya uwe huru kifedha. Kwa mtaji wa tsh 11,500 tu waweza jikwamua kiuchumi na kufikia malengo ya kupata hadi ths 1,300,000 kwa mwezi... umesoma sahihi, NI KWELI KABISA! Kwa sasa soko la vitabu mtandaoni, kwa kiingereza tunaviita electronic books au downloadable books, vimekuwa na hitaji kubwa sana kwa watu mbalimbali. Vitabu hivi vimekuwa vikifundisha watu mbalimbali jinsi na vipi kufanya ujikwamue kiuchumi. Vitabu hivi vinapatikana kwa njia ya barua pepe, unatumiwa kwenye anuani yako ya barua pepe nawe unavipakua (download) na kuanza kuvisoma.Vitabu hivi vinambadilisha mtu na hata kuanza kutengeneza pesa hadi MILIONI NNE kwa mwezi. Kwa watu waliokuwa na uzoefu wa miaka mingi kama vile Anik Singal, Mike Filsaime na Chris Carpenter wamefikia kutengeneza hadi BILIONI SITA kwa mwezi kwa kufuata haya yaliyo ndani ya vitabu hivi. Na wao kwa sasa wanatoa vitabu na software mbalimbali kuwajengea watu uwezo wa kutengeneza pesa kutumia intaneti. 

 VITU UNAVYOHITAJIKA KUWA NAVYO NI:
 • Kwa wenye uwezo wa kuwa na kompyuta basi wawezeshe kuwa na intaneti. Kama huna kompyuta basi hata simu ya mkononi yaweza fanya haya pia.
 • Kuwa na akaunti benki. Malipo utakayokuwa unapata kutokana na kufanya huu ujasiriamali mtandaoni yatapitia benki hivyo, kafungue akaunti benki na watakupatia kadi ya VISA ama MASTERCARD. Itapendeza zaidi ukawaambia waiunganishe ili iweze kuwa na uwezo wa kununua bidhaa mtandaoni.
 • Kuwa na hamasa ya kupata pesa
 • Mtaji wa shilingi 11,500. Hii ni gharama ya kitabu utakachonunua hapa.

MUHIMU: Kwa wale wanaoshindwa kununua hiki kitabu kwa sababu labda hawana akaunti benki au wana kadi ila hawajawezesha hizo kadi kununua bidhaa mtandaoni, basi wanaweza kuwasiliana nasi MACP AGENCY SERVICES kwa namba hapo chini. Wataweza kununua kwa njia ya mitandao ya simu kama vile tigopesa,Mpesa,Airtel money au Halotel money.

 Mawasiliano: Simu: 0719-387695/0763-898347