PIA WAWEZA KUWA WAKALA HAPA

MACP AGENCY SERVICES pia tuna kazi za masoko nyingi sana. Tumeingia mikataba na kampuni mbalimbali zinazojishughulisha na bidhaa na huduma mbalimbali, zikiwemo bidhaa na huduma za kielektroniki. Vijana wengi wanakosa maarifa na kuamini kuwa kazi pekee yenye tija ni za kuajiriwa tu kwenye makampuni ama mashirika. La hasha! waweza fanya kazi za kujiajiri na ukafanikiwa zaidi na ndipo, MACP AGENCY SERVICES inakuwezesha katika upande huo. 


Tumeona unaweza kujiajiri kwa kufanya kazi za ujasiriamali mtandaoni (internet marketing) kwa kununua moja ya vitabu vile na ukapata ufahamu mzuri wa jinsi ya kupata kipato cha zaidi MILIONI MOJA NA LAKI TATU kwa mwezi. Na hapa sasa ninakupa njia zingine ambazo unaweza ukapata ama kuongeza kipato kwa kuwa tu wakala wa mauzo kwa njia ya kamisheni. Mfano, waweza pata shilingi 50,000 kwa kila shule ya private utakayoweza kuisajili katika kampuni ya MACP AGENCY SERVICES ili wapate kuwanyiwa baadhi ya huduma na kampuni hii. Unaweza pata hadi shilingi LAKI MOJA kwa kumleta mteja kupatiwa bidhaa ama huduma kutoka kwenye kampuni yetu. Fursa ni nyingi mno kwetu.


Sasa unapopata mteja anayehitaji huduma mojawapo ama baadhi ya hapo juu basi unawasiliana nasi ili tumpatie huyo huduma. Na akishafanyiwa na kulipa pesa husika basi wewe unapata asilimia kadhaa ya bidhaa ama huduma husika, na mara nyingi inakuwa asilimia kumi (10%) ya faida inayopatikana katika bidhaa au huduma huskia. Na huduma hizi zinafanyika popote pale ndani ya nchi ya Tanzania, kwa kifupi mikoa yote ya Tanzania. Hiyo ni fursa ingine kwako ya kujipatia kipato. Bofya hapa kuona huduma hizo zote.

Mfano mwingine ni ile huduma katika mashule binafsi ya sekondari bweni. Hapa tunatoa huduma mbalimbali katika mashule hayo, na pale unapokamilisha kusajili shule na kuleta fomu hizo basi unapewa shilingi Elfu hamsini kwa kila usajili. Ingia hapa uone hizo huduma tunazotoa kwa mashule binafsi ya sekondari.

Hizo zote ni moja ya fursa ya wewe kujipatia kipato.

CHANGAMKIA FURSA HIZO